TANZANIA,USWISI KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA ELIMU YA AMALI,UTAFITI NA UBUNIFU

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Novemba 20, 2024 amekutana na Waziri wa Elimu, Utafiti na Ubunifu, wa Uswisi Bi. Martina Hirayama ambapo wamezungumzia ushirikiano katika masuala ya elimu ya amali, utafiti na ubunifu  Waziri Mkenda amesema kuwa Serikali imejizatiti kutekeleza mageuzi yanayolenga kutoa elimu ujuzi ili kuwezesha Taifa kupata wahitimu…

Read More

Mitambo minane Bwawa la Nyerere yakamilika, bado mmoja

Dodoma. Mitambo minane kati ya tisa inayojengwa katika Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere, imekamilika na mmoja uliobakia utakamilika mwishoni mwa mwezi huu. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Januari 31, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko wakati akichangia kwenye azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan…

Read More

TCU yafungua dirisha jipya udahili elimu ya juu

  Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), imefungua awamu ya tatu ya udahili wa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na elimu ya juu, kutuma maombi ndani ya siku tano (5), kuanzia kesho. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam  (endelea). Katibu Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa, ametangaza kufunguliwa kwa awamu hiyo kupitia taarifa yake, aliyoitoa leo tarehe…

Read More

Tshabalala achukua namba ya mtu

KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano, huku ikielezwa nahodha wa zamani wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ aliyetua klabuni hapo kwa kishindo amempora mtu namba mapema. Tshabalala ni kati ya wachezaji watano wa Yanga waliokuwa katika timu ya taifa iliyokuwa ikishiriki Fainali za CHAN 2024 ambao walipewa mapumziko…

Read More

Watatu walivyombaka na kumlawiti mtoto wa darasa la sita

Moshi. Ni ushetani au ni changamoto ya afya ya akili? Hili ni swali linaloumiza wengi kwa sasa baada ya wanaume watatu wilayani Rombo, kumbaka mtoto anayesoma darasa la sita kwa miezi mitatu mfululizo wakipeana zamu kufanya ufedhuli huo. Lakini sheria imechukua mkondo wake, baada ya kushindwa kupangua adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela walichohukumiwa…

Read More

DC Linda Salekwa abariki mashindano ya Pool Table….

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt Linda Salekwa ambaye pia ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika Mashindano ya Mchezo wa Pool Table yaliyoandaliwa na Kampuni ya Ryan Company nakufanyika siku ya Leo Mtaa wa Summer Night ili kutafuta Washindi wanne wa Mchezo Huo Mjini Mafinga. Dkt Linda Salekwa Ameupongeza Uongozi wa Ryan company kwa Kuandaa mashindano…

Read More