Kesho kicheko, maumivu | Mwananchi
Dodoma. Mwaka mpya wa Serikali wa 2025/26 unaanza kesho Jumanne, Julai mosi, 2025 kwa bodaboda na wafanyabiashara kufurahia punguzo la tozo, ada huku wanywaji wa vilevi, wachezaji wa michezo ya kubashiri wakianza kuonja joto la kupanda kwa ushuru. Juni 24, 2025, Bunge lilipitisha bajeti ya Sh56.49 trilioni katika mwaka 2025/26. Bajeti hiyo inayoanza kutekelezwa kesho,…