Wiki ya Sayansi ya Cgiar inatafuta suluhisho kwa usalama wa chakula, hali ya usoni ya hali ya hewa-maswala ya ulimwengu

Sweetpotato kuvuka block, Uganda. Reuben Ssali, mfugaji wa mmea anayeshirikiana na Kituo cha Viazi cha Kimataifa. Mikopo: Cgiar na mwandishi wa IPS (Nairobi) Jumatatu, Aprili 07, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NAIROBI, Aprili 07 (IPS) – CGIAR na Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo wa Kenya (Kalro) wanawaleta pamoja wanasayansi wanaoongoza ulimwenguni na…

Read More

Vinywaji hivi hatari kwa mjamzito, mtoto

Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wametahadharisha kuhusu ongezeko la matumizi ya vinywaji vyenye sukari nyingi, hususani soda kwa wajawazito, wakieleza ni tishio kwa afya ya mama na mtoto. Tafiti zinaonesha idadi ya wajawazito wanaokunywa soda mara kwa mara inaongezeka hasa mijini kutokana na urahisi wa upatikanaji wake pamoja na dhana kuwa havina madhara makubwa…

Read More

Wajumbe Bawacha walia na posho

Dar es Salaam. Muda mchache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wajumbe wa mkutano huo wamepaza sauti ya kuhitaji posho zao kabla ya mchakato huo. Hali hiyo inajiri muda mchache baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwasili kwenye viunga vya Ubungo Plaza jijini…

Read More

Mkude, Sureboy, Farid wakacha paredi la Yanga

Wakati wachezaji wa Yanga na benchi la ufundi la timu hiyo wakiingia kwenye gari tayari kwa ajili ya kuanza msafara wa Paredi la Yanga, mastaa watatu hawakuingia kwenye gari hilo. Jana Yanga ilitetea ubingwa wa nne wa Kombe la Shirikisho la FA ikiichapa Singida Black Stars mabao 2-0 na kufikisha makombe matano ambayo imeyatwaa msimu…

Read More

Bada, Damaro ndani Singida v Kagera Sugar

SAKATA la wachezaji watatu wa kigeni waliobadilisha uraia wao limechukua sura mpya baada ya wawili kati yao kuanzishwa katika kikosi cha timu ya Singida Black Stars dhidi ya Kagera Sugar. Katika kikosi ambacho Singida imekiweka hadharani mchana huu kitakachocheza dhidi ya Kagera Sugar kimewajumuisha wachezaji wawili hao kati ya watatu ambao ni kiungo Damaro Camara…

Read More

ACT-Wazalendo yapuliza kipenga Uchaguzi Mkuu 2025

Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimepuliza kipenga kwa wanachama wake wenye sifa za kugombea uongozi katika Uchaguzi Mkuu 2025 kuanza kutangaza nia. Nafasi wanazotakiwa kujitokeza kuwania katika uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu ni za udiwani, udiwani viti maalumu, ubunge, ubunge viti maalumu na urais. ACT-Wazalendo kinakuwa chama cha kwanza kati ya vyama 19 vya…

Read More