
WAOMBA KUONDOLEWA VIKWAZO BIASHARA YA MAZAO YA KILIMO IKOLOJOA MIPAKANI
Mwandishi wetu Arusha SERIKALI katika nchi za Afrika ya Mashariki, zimeombwa kuondoa vikwazo ambavyo vinaathiri biashara za mipakani za mazao ya kilimo Ikololojia, hasa kwa wajasiriamali wadogo ili kuwezesha kukuza biashara hiyo. Utafiti uliofanywa kuhusiana na biashara za kilimo Ikolojia (Kilimo Hai) mipakani zimebaini kuna changamoto kadhaa ikiwepo viwango vya ubora wa bidhaa,mifumo ya ulipaji…