JKT vs Singida BS patachimbika Mej. Jen Isamuhyo

REKODI ya JKT Tanzania kuwa timu pekee kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu ambayo haijapoteza mechi nyumbani itaendelea kudumu? Hilo ni swali wanalojiuliza wengi wakati Wanajeshi hao wa Kujenga Taifa watakapowakaribisha Singida Black Stars. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopangwa kuchezwa kuanzia saa 10 jioni leo Alhamisi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo…

Read More

Bunge la Kongo laidhinisha serikali ya Waziri Mkuu Suminwa – DW – 12.06.2024

Wabunge waliidhinisha kwa uwingi mpango huo wa utekelezaji ambao vipaumbele vyake vimekusanywa katika nguzo sita. Nazo ni kujenga uchumi ili kuunda kazi na kulinda uwezo wa ununuzi, kulinda mamlaka ya kitaifa na usalama wa raia pamoja na mali zao, kuhakikisha upatikanaji wa huduma za msingi za kijamii, kuimarisha uwezo wa Wakongo kushiriki katika ujenzi wa nchi, kusimamia ipasavyo…

Read More

Rombo sasa kulima migomba kwa matone

Rombo. Wataalamu zaidi ya 25 kutoka Wizara ya Kilimo wanatarajiwa kupiga kambi katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro,  kutoa elimu ya namna bora ya kuzalisha zao la ndizi kwa kutumia umwagiliaji wa matone na kuachana na kilimo cha mazoea,  ili kuzalisha kwa tija na kuuza bidhaa hiyo katika masoko ya kimataifa. Wilaya ya Rombo ni…

Read More

Wananchi wataka kuimarishwa usimamizi rasilimali za Mto Mara

Musoma. Wakati Tanzania na Kenya zinajiandaa kuadhimisha Siku ya Mto Mara, wakazi wa Mkoa wa Mara wanaoutegemea kwa shughuli za kiuchumi na kijamii, wameomba mamlaka husika kuimarisha usimamizi wa rasilimali zake. Wamesema lengo ni kuhakikisha utajiri huo wa asili unaendelea kuchangia usalama na ustawi wa vizazi vya sasa na vijavyo. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo…

Read More