DC LUDEWA APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA
Na Damian Kunambi, Njombe Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amepokea msaada wa vifaa tiba mbalimbali vilivyotolewa na kampuni ya Kuambiana Investment ambavyo vimelenga kuhudumka kituo cha afya Kata ya Luilo na Manda ambapo miongoni mwa vifaa hivyo ni magodoro, vitanda, baiskeli za wagonjwa pamoja na mashuka. Akipokea msaada huo Mwanziva amempongea mkurugenzi wa…