WAZIRI MKUU AKUTANA BALOZI WA BELARUS NCHINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 24. 2024 amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo hayo, Mheshimiwa Majaliwa amemweleza Balozi Pavel kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Belarus katika Sekta za Madini, Afya, Utalii, Kilimo na Biashara kwa faida ya nchi…

Read More

Wajasiriamali wadogowadogo kuendelea kulamba fursa za DCB

Dar es Salaam. Wajasiriamali wadogo wadogo nchini wamehakikishiwa kuendelea kupatiwa ufumbuzi wa tatizo la mitaji ya kibiashara katika kuingiza sokoni bidhaa zao zenye ubunifu kwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kukidhi mageuzi ya sayansi na teknolojia. Hakikisho hilo, limetolewa na Benki ya Kibiashara ya DCB, wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Mwaka wa Wanahisa…

Read More

ROSTAM AZIZ: TUNALO JUKUMU LA KUWASAIDIA WATANZANIA KUJUA KUFANYA BIASHARA

Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, ametoa wito wa kuanzishwa kwa semina mikoani kwa ajili ya kuwaelimisha wafanyabiashara wadogo namna ya kufanya biashara kwa mafanikio, kupata mikopo, na kupanua shughuli zao. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika kikao cha “Roundtable” cha wafanyabiashara na wawekezaji wa Kitanzania, Rostam alisisitiza umuhimu wa kutoa elimu ya uzoefu wa kibiashara…

Read More

Fahmar Santos nje miezi tisa

Kinda wa Kitanzania anayekipiga Ceu Ciutat Meridiana ya Hispania, Fahmar Santos amesema ripoti ya daktari inaeleza atakaa nje ya uwanja kwa takribani miezi tisa sawa na msimu mzima, baada ya kufanyiwa operesheni ya goti la mguu wa kulia. Mwishoni mwa msimu huu, kinda huyo (21) alipata jeraha la goti na Jumamosi, Agosti 8 mwaka huu,…

Read More

Mwenyekiti wa kitongoji matatani kwa kuchochea vurugu za wakulima, wafugaji

Morogoro. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ngoisani Kilosa mkoani Morogoro, Lepapa Kidole amekamatwa kwa tuhuma za kuchochea vijana kutoka jamii ya wafugaji kuwashambulia kwa fimbo na virungu wakulima wa Kijiji cha Matongolo. Tukio hilo limetokea baada ya mwenyekiti huyo kudaiwa kuwashawishi vijana wa kimaasai kuanzisha vurugu na kuwapiga wakulima wakiwazuia kulima miwa wakiotaka walime mazao ya…

Read More