SportPesa Tanzania yasaini upya udhamini wa Yanga: Mashabiki waupokea kwa shangwe ushirikiano huu mkubwa

Harakati kubwa kwenye anga la michezo nchini Tanzania ni huu si uvumi tu, bali ni uthibitisho wa dhamira ya kweli. Kupitia SportPesa Tanzania, kampuni inayoongoza michezo ya kubashiri kidijitali barani Afrika, imeimarisha nafasi yake si tu kwenye uwanja wa burudani, bali pia kwenye mustakabali wa soka la Tanzania. Hii ni zaidi ya mkataba; ni makubaliano…

Read More

NJIRO; WANANCHI SIO LAZIMA KUFANYA WIRING NYUMBA NZIMA MNAWEZA KUFANYA CHUMBA KIMOJA KWAAJILI YAKUPOKELEA UMEME

 NA BELINDA JOSEPH, SONGEA Wakazi wa Kata ya Subira Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, wametakiwa kuunganisha nyaya za umeme angalau chumba kimoja kwenye Nyumba ili kuwawezesha kupata huduma hiyo mapema badala ya kusubiri REA watakapoukabidhi mradi huo kwa TANESCO jambo ambalo litasababisha gharama yakuunganisha umeme kupanda kutoka Ile ya mradi wa REA shilingi elfu 27….

Read More

Dodoma Jiji sasa yakimbilia Manyara

UONGOZI wa Dodoma Jiji umechagua kuutumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara kwa michezo ya nyumbani, baada ya Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kufungiwa na Bodi ya Ligi (TPLB) kutokana na kutokidhi vigezo. Timu hiyo iliyoanza msimu huu bila ya kuonja ladha ya ushindi katika michezo miwili iliyocheza, ilichapwa bao 1-0 na Mashujaa kisha…

Read More

Bendera zilizoinuliwa huko Doha wakati viongozi wanakusanyika kwa Mkutano wa Maendeleo ya Jamii wa UN – Maswala ya Ulimwenguni

Sherehe hiyo iliashiria dhana rasmi ya Umoja wa Mataifa ya Kituo cha Mkutano wa Kitaifa wa Qatar (QNCC) kama ukumbi ambao viongozi wa ulimwengu watafanya kazi ili kurekebisha tena mpango wa kijamii wa ulimwengu. Hafla hiyo fupi lakini ya mfano, iliyofanyika katika Kituo cha Mkutano wa Sprawling, ilihudhuriwa na maafisa wakuu kutoka Qatar na Umoja…

Read More

Huu ndiyo Profesa Janabi usiyemjua

Dar es Salaam. Wakati Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitaja jina la Profesa Mohamed Janabi kama pendekezo la nchi na ajiandae kugombea nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, Mwananchi imekusogezea wasifu wake. Akizungumza baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali leo Jumanne, Desemba 10, 2024 kwenye…

Read More

Mwenyekiti UVCCM Makongorosi auawa | Mwananchi

Mbeya. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na  mwili wake kukutwa Kata ya Mkola. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,…

Read More

WATER AID NA HABITAT FOR HUMANITY WAJENGA VYOO ARUSHA DC

Na Mwandishi wetu, Arusha Mashirika ya Water Aid na Habitat for Humanity Tanzania wamefanikiwa miradi ya ujenzi wa vyoo kwenye masoko ya Kata za Olmotonyi na Olturumet Mkoani Arusha. Watumiaji na wafanyabiashara 5,000 wa masoko hayo, waliokosa huduma ya vyoo kwa muda mrefu wameondokana na tatizo hilo baada ya vyoo bora kuzinduliwa. Mkurugenzi wa Taifa…

Read More

Mrundi Fountain Gate aanza kutatamba

BEKI wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi, amesema kwa sasa timu hiyo inaanza taratibu kujipata kutokana na mwanzo mbaya walioanza nao, ingawa bado wana kazi kubwa ya kufanya kuendeleza kiwango bora kwa sababu ya ushindani. Kauli ya nyota huyo inajiri baada ya juzi kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya KMC kwenye…

Read More