Sh580 bilioni za EU kuboresha upatikanaji maji jijini Mwanza
Mwanza. Umoja wa Ulaya (EU) unatarajia kutoa zaidi ya Sh580 bilioni kufadhili awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa chanzo na kituo cha tiba cha maji Butimba, jijini Mwanza. Mradi huo unalenga kuongeza upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wakazi wa jiji hilo na maeneo ya jirani. Ahadi hiyo imetolewa leo Alhamisi,…