TIC yalenga uwekezaji wa Sh26.6 trilioni

Dar es Salaam. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeeleza kuwa, mwaka huu kinalenga kusajili uwekezaji wa Dola 10 bilioni za Marekani (Sh26.6 Trilioni). Leo Jumatatu, Julai 15 2024, Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Gilead Teri, amewaeleza waandishi wa habari kuwa lengo hilo limewekwa wakati nchi ikiendelea kuvutia uwekezaji mkubwa kutoka nje na ndani kwa kuwa na…

Read More

Matarajio ya wadau ujio chuo cha teknolojia ya kidijitali

Arusha. Wadau wa elimu wamepongeza mpango wa Serikali wa kujenga Chuo cha Teknolojia ya Kidijitali, wakisema kitasaidia kuongeza wataalamu wa ndani, kukuza ajira, kuendeleza sekta mbalimbali pamoja na kuimarisha usalama wa nchi. Wadau hao wamesisitiza kuwa ushirikishwaji mpana wa wadau katika hatua za kuanzisha chuo hicho, ni muhimu ili kiweze kufanya kazi kwa ufanisi na…

Read More

Maafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon – DW – 03.01.2025

Maafisa nchini Korea Kusini wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol, wakati wafuasi wake wakiendelea kupiga kambi nje ya makazi hayo. Maafisa kutoka ofisi ya kupambana na rushwa ya CIO, waliingia kwenye makazi hayo kupitia ulinzi mzito katika harakati za kumkamata Yoon anayechunguzwa kufuatia hatua…

Read More

Ligi Kuu Bara ni vita ya nafasi

LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo Jumatatu kwa timu nane kusaka pointi tatu na michezo minne itapigwa viwanja mbalimbali. Mchezo wa mapema saa 8:00 mchana utazikutanisha Ihefu iliyokuwa nafasi ya 12 na pointi 25 kwenye Uwanja wa Liti, Singida dhidi ya Namungo ya Lindi iliyopo nafasi ya 11 na pointi 27 baada ya zote kucheza…

Read More

‘Marufuku kuwakatia maji wateja ‘wikiendi’

Dar es Salaam. Mamlaka za maji nchini zimezuiwa kukatia wateja wake huduma za maji mwishoni mwa juma kwa sababu kufanya hivyo ni kwenda kinyume na utaratibu wa udhibiti. Hayo yameelezwa leo Ijumaa Desemba 13, 2024 na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Titus Kaguo wakati wa…

Read More

WMA YAHIMIZA USHIRIKIANO KUTOKA SEKTA BINAFSI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali, Septemba 11, 2024 jijini Dar es Salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akitoa elimu ya vipimo kwa Wahariri na Waandishi wa Habari wakati wa Mkutano ulioandaliwa na Ofisi ya…

Read More

Uchaguzi ni kama dabi ya Kariakoo

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 unakuja kwa kasi, na kama kawaida. Maandalizi yamejaa maneno, porojo na hekaya za kila namna. Mtaani tunapishana na mabango, bendera, fulana, khanga na kofia za wagombea. Kwa kawaida kampeni ni kachumbari ya uchaguzi. Kila chama kikipiga tantalila zake, kila mwanasiasa akijiona kuwa staa wa siasa. Na wapiga kura wanamshangilia kama…

Read More