Mashambulio ya Drone ya Sudan huongeza hofu kwa usalama wa raia na juhudi za misaada – maswala ya ulimwengu

“Mashambulio haya yanaonekana kuwa ya hivi karibuni katika safu ya shughuli za jeshi la kulipiza kisasiiliyofanywa na vikosi vya msaada wa haraka na vikosi vya jeshi la Sudan, kulenga viwanja vya ndege katika maeneo ya kila mmoja ya udhibiti, “msemaji wa naibu wa UN Farhan Haq aliwaambia waandishi wa habari huko New York Jumatatu. Mapigano…

Read More

Viongozi vyama vya ushirika wapewa somo kuzingatia sheria

Moshi. Viongozi wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia mifumo ya sheria za ushirika na taratibu za kifedha ili kuepuka migogoro na upotevu wa rasilimali za vyama hivyo. Rai hiyo imetolewa jana Machi 7, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, anayeshughulikia umwagiliaji na ushirika, Dk Stephen Nindi wakati…

Read More

Wakazi wa kijiji cha Kondo waonywa kuharibu misitu ya mikoko

Na Upendo Mosha, Bagamoyo WAKAZI wa kijiji Kondo, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani wameonywa kuacha tabia ya kuharibu Mistu ya mikoko iliyopo pembezoni mwa habari ya Hindi, ili kuthibiti tatizo la kuharibu wa mazingira na mazalia ya samaki. Rai hiyo ilitolewa Jana na Mkurugenzi wa uratibu na ufuatiliaji wa mfuko wa maendeleo ya jamii nchini(TASAF), Haika…

Read More

Polisi wadai Chadema wamewapiga mawe

  JESHI la Polisi mkoani Songwe, limethibitisha kuwashilikia viongozi kadha wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe  … (endelea). Taarifa ya jesho hilo, iliyotolewa leo 22 Septemba 2024, imewataja waliokamatwa pamoja na Mbowe, kuwa ni Joseph Mbilinyi, mwenyekiti wa chama hicho, Kanda ya…

Read More