Mambo yanayomsubiri kamishna mpya ZRA

Unguja.  Wakati Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), Said Kiondo Athumani akikabidhiwa mikoba rasmi kuendesha taasisi hiyo, mambo kadhaa yanamsubiri ikiwamo kuzungumza na wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari. Pia, anapaswa kuweka mikakati kuhakikisha wafanyabiashara wanatoa risiti za kielektroniki kwa kuwa,  wengi wanatajwa kukwepa jukumu hilo kwa kisingizo cha mashine kukosa mtandao. Kiondo anachukua…

Read More

Balaa Yanga! Siri za Gamondi zabainika, kazi ipo Ligi Kuu

MIONGONI mwa mambo ambayo yamekuwa yakiibeba Yanga ya Miguel Gamondi kimbinu ni pamoja na viungo wake akiwemo Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli kuwa na uwezo wa kucheza baina ya mabeki wa kati na pembeni ‘half-spaces’ kitu ambacho kimekuwa kikiwaweka wapinzani wao katika wakati mgumu. Katika michezo sita iliyopita kwa Yanga ikiwemo mitatu iliyocheza Afrika Kusini…

Read More

‘Dira kuelekea maendeleo’ – lakini malengo muhimu ya maendeleo yanabaki mbali – maswala ya ulimwengu

Ufunguo wa UN Malengo endelevu ya maendeleo Ripoti ilizinduliwa Jumatatu na Katibu Mkuu António GuterresNyakati zote mbili maendeleo na vikwazo -Kuonyesha kuwa ulimwengu umefanya maendeleo makubwa lakini bado uko mbali sana kufikia malengo yake ya maendeleo ifikapo 2030. Chukua siku “Ripoti hii ni zaidi ya picha ya leo. Pia ni dira inayoelekeza njia ya maendeleo….

Read More

Utata kifo cha mfanyabiashara akiwa mapumziko na mpenzi wake

Australia. Familia ya mfanyabiashara raia wa Uingereza aliyefariki akiwa mapumzikoni na mpenzi wake wa miaka 25, inataka majibu ya kina kuhusu kifo chake, wakisema hawana ufahamu wowote kuhusu alikozikwa wala chanzo halisi cha kifo chake. Allen McKenna, 47, alizirai ghafla na kufariki katika Jiji la Casablanca Februari,2025, akiwa na mpenzi wake wa Morocco, Majda Mjaoual….

Read More

Netanyahu aishutumu Marekani kwa kuzuia msaada wa silaha – DW – 19.06.2024

Kwenye taarifa ya vidio iliyochapishwa Jumanne Netanyahu alisema hatua hiyo ilikuwa inapunguza kasi ya mashambulizi yake katika mji wa Rafah ulioko Kusini mwa Gaza. Amesema hayo, wakati Umoja wa Mataifa ukiishutumu Israel kwa kukiuka mara kwa mara sheria za kimataifa kwenye vita hivyo baada ya kushindwa kutofautisha wapiganaji na raia.  Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema jana kwamba…

Read More

Marubani wa ATCL kutoa shule ya Airbus Nigeria

Dar es Salaam. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limeingia makubaliano ya kupeleka marubani wake,  kufundisha na kusimamia ndege mpya za Airbus A220 za Kampuni ya Ndege ya Ibom iliyopo nchini Nigeria. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi, amethibitisha kuwepo kwa makubaliano hayo,  ambapo amesema ATCL imetoa marubani wake waandamizi wawili ambao watakuwa na jukumu la…

Read More

Gets Program inazitaka pointi tisa WPL

KATIKA kuhakikisha inasalia Ligi Kuu, Gets Program imeanza mipango ya kuzisaka pointi tisa zilizosalia, ingawa kocha wa timu hiyo, Aristides Ngowi amesema haitakuwa kazi rahisi. Gets iko nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi na ilikuwa miongoni mwa timu mbili zilizoanza vibaya kwenye mechi 15 imeshinda mbili, sare nne na kupoteza tisa ikiruhusu mabao 39….

Read More

Bondia afariki baada ya kupigwa ulingoni

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mgaya, amefariki dunia usiku huu muda mchache baada ya kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutoka Hospitali ya Mwananyamala. Kifo cha bondia huyo kimetokea baada ya juzi Jumamosi Desemba 27, 2024 kupigwa katika pambano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Dunia Ndogo, Tandale jijini Dar es Salaam….

Read More