Madaktari wa India kuweka kliniki Dar
Dar es Salaam. Madaktari bingwa bobezi wanne kutoka Hospitali ya Apollo ya India wametua nchini kuweka kliniki katika Hospitali ya Kitengule iliyopo jijini hapa kushughulika na wagonjwa wanaosumbuliwa na maradhi yasiyoambukiza. Katika kliniki hiyo ya siku mbili kuanzia kesho Mei 30, 2024 utatolewa ushauri kwa wagonjwa wa moyo, ubongo na uti wa mgongo, mishipa ya fahamu,…