Vizuizi vipya kwa Wanawake Wanawake wanaofanya kazi kwa UN, weka juhudi za misaada katika hatari – maswala ya ulimwengu

Hatua hizi zinaweka msaada wa kuokoa maisha ya kibinadamu na huduma zingine muhimu kwa mamia ya maelfu ya watu walioathiriwa na tetemeko la ardhi la hivi karibuni lililo hatarini, Ujumbe wa Msaada wa UN nchini Afghanistan (Unama) alionya ndani taarifa. Jumapili, de facto Vikosi vya usalama vilizuia wafanyikazi wa wanawake wa Afghanistan na wakandarasi kuingia…

Read More

Vijana 30,000 waguswa tamasha Twenz’etu kwa Yesu

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Zaidi ya vijana 30,000 wamebadili maisha yao kupitia tamasha linaloandaliwa kila mwaka na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Tamasha hilo lijulikanalo kama ‘Twenz’etu kwa Yesu’ lilianza mwaka 2014 limekuwa likiwakutanisha vijana wa dini na madhehebu mbalimbali kutoka Jiji la Dar es Salaam na…

Read More

WAKULIMA WADOGO WANUFAIKA NA MIKOPO YA AGITF

  Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Pembejeo Bi. Mwanahiba Mzee, akizungumza katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba, yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Pembejeo Bi. Mwanahiba Mzee, akitoa elimu kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Taasisi hiyo,…

Read More

TUMIENI UMEME KUPIKIA GHARAMA NI NAFUU – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, ameeleza faida za teknolojia mpya inayoruhusu matumizi ya umeme katika kupikia, akisema kuwa gharama yake sasa ni ndogo kuliko vyanzo vingine vya nishati. Akizungumza leo katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika maonesho ya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma, Mhandisi Mramba alitaja kwamba mara nyingi…

Read More

Upi mtazamo wa Trump kuelekea Afrika? – DW – 06.11.2024

Kiongozi huyo mwenye mtazamo wa kizalendo anatarajiwa kuongoza nchi hiyo tena kwa kipindi cha miaka minne, ambapo atakuwa karibu na washirika wake wa kisiasa na kupambana na maadui wa ndani na nje. Ingawa Trump anaweza kuwa na mipango mahsusi ya kukuza maslahi ya Marekani, historia yake inaonyesha kwamba masuala ya Afrika mara nyingi hayajapewa kipaumbele. Ushindi…

Read More