Ni robo fainali ya kisasi Ligi ya Kikapu Dar

Ni vita ya kisasi    robo fainali ya Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) itakayoanza kesho (Jumamosi) kwenye Uwanja wa Donbosco Upanga. Kila timu inasaka ushindi kwa kulipa kisasi baada ya kufungwa katika hatua ya kwanza ya ligi hiyo na JKT Stars itakutana na Vijana Queens, huku Jeshi Stars itamenyana na  Pazi Queens. Kwa upande…

Read More

Mayanga kazi anayo usajili Mashujaa

WAKATI vigogo vya soka vikiendelea kutambiana kwa sajili zao, kuna watu wanaitwa Mashujaa wanafanya usajili mzuri sana wa wachezaji wazawa. Ndiyo tunakumbuka hapa kijiweni Mashujaa inamilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania na kama ilivyozoeleka timu za majeshi huwa kwa asilimia kubwa zinatoa fursa kwa watoto wa nyumbani kwa maana ya wachezaji wazawa. Sasa kama husajili…

Read More

Straika Mzambia atua Singida Black Stars

TIMU ya Singida Black Stars inaendelea na maandalizi ya msimu jijini Arusha chini ya kocha Miguel Gamondi, huku uongozi wa kikosi hicho ukifikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji, Andrew Phiri kutoka Maestro United ya Zambia. Nyota huyo raia wa Zambia, alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kilichotolewa katika michuano ya CHAN 2024, ambapo mabosi wa…

Read More

Tuungane pamoja tuimalize Morocco | Mwanaspoti

LEO ndiyo leo na asemaye kesho muongo, maana timu yetu ya taifa ‘Taifa Stars’ inaweza kuandika historia ya kibabe kwenye mashindano ya CHAN au safari yake ikaishia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa itakapokabiliana na Morocco. Na kwa vile ni robo fainali, maana yake timu itakayopoteza itaaga rasmi mashindano hayo yanayoshirikisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani…

Read More

Siri usiyoijua ulaji wa mapera na Uviko-19

Dar es Salaam. Tuna ahamu matunda yenye vitamini C, husaidia kuimarisha kinga ya mwili na kuharakisha uponaji kwa haraka. Hata hivyo, ulishawahi kujiuliza siku ukikosa machungwa ambayo wataalamu wa masuala ya afya, wanatueleza kuwa yamesheheni vitamin C, unaweza kutumia matunda gani ambayo yatakusaidia kupata vitamin C kwa wingi? Jibu hili hapa, matunda kama mapera, yatakupa vitamin…

Read More

Faida za kutibu mapema busha, ngiri

Dar/Pwani. Imani potofu kuhusu ugonjwa wa mabusha bado zinatesa jamii za Pwani, ingawaje tiba ipo, lakini hofu na aibu zinazuia wengi kusaka matibabu, huku watu 778,415 wakitajwa kuwa hatarini. Bagamoyo ni miongoni mwa wilaya tano, ambazo bado waathirika wa ugonjwa mabusha wamesalia, huku baadhi yao wakitafuta tiba za mitishamba na wengine kwa waganga wa kienyeji….

Read More

Mafuriko ya Monsoon huua zaidi ya 700 nchini Pakistan, na mvua nzito zinaendelea kuendelea – maswala ya ulimwengu

Mamlaka ya Usimamizi wa Maafa ya Kitaifa pia imeripoti majeraha 978 na uharibifu au uharibifu wa nyumba zaidi ya 2,400, wakati zaidi ya mifugo 1,000 imepotea kama Alhamisi, 21 Agosti. Hali ya hewa kali ni utabiri wa kuendelea mapema Septemba, na kuongeza hatari ya mafuriko zaidi, maporomoko ya ardhi na upotezaji wa mazaokulingana na Ofisi…

Read More