Manispaa ya Lindi yapanda miti 1,500, kuelekea Siku ya Misitu Duniani
Lindi. Sauti za wanafunzi zikichanganyika na vicheko vya wananchi zilisikika katika viunga vya Shule ya Msingi Msinjahili, wakati mikono ya walimu, viongozi na wadau wa mazingira ikipanda miche ya miti kwa matumaini ya kulinda mazingira ya kesho. Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani yanayotarajiwa kufanyika kitaifa mkoani Lindi, jumla ya miche 1,500 ya…