Simulizi ya Mtanzania aliyeshinda tuzo ya kimataifa ya Mohammad Ali
Dar es Salaam. Maisha uliyopitia yanaweza kujenga wazo linaloweza kukutambulisha duniani. Ndivyo ilivyo kwa Gibson Kawango, ambaye awali alitaka kuwezesha familia yake kupata nishati ya umeme, sasa anatambulika kimataifa na wengi wananufaika na ubunifu wake. Utambuzi huo ni kutokana na kuwezesha upatikanaji wa nishati ya umeme kwa kutumia betri mbovu za kompyuta mpakato kutengeneza mfumo…