YALIYOJIRI MJENGONI: ‘Ubaya Ubwela’ ilivyomchanganya Dk Bashiru
Dk Bashiru kwani misamiati yote aliyoitoa Waziri unataka kutuambia unaijua isipokuwa hilo moja tu. Yaani Balozi Dk Bashiru Kakurwa amesema misamiati ya Waziri wa Maji Jumaa Aweso yote anaielewa isipokuwa huo ambao haupo kwenye kamusi yake. “Mheshimiwa Spika, nimemuelewa Waziri kwa kila neno na maneno yake magumu na misamiati yote, isipokuwa neno moja la ‘Ubaya…