Wasomi wachambua hatua ngumu zinazoinyemelea Chadema
Dar es Salaam. Mvutano unaoendelea kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Chadema unaelekea kwenye hatua ngumu ambazo wadau wa siasa wanasema zinaweza kuwa na athari hasi kwa chama hicho na siasa za Tanzania kwa ujumla. Hali hiyo inatokana na msimamo usioyumba wa kila upande, kuhusu uhalali wa uteuzi wa viongozi wanane…