Mziki mnene wa Simba Day

LEO ndiyo ile siku ya kipekee kwa Simba na mashabiki wa klabu hiyo, iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu. Ni kilele cha Tamasha la Simba Day na ndiyo siku maalumu ya Wanalunyasi hao kutambulisha kikosi kizima kwa msimu mpya wa 2025/2026. Huu ni msimu wa 16 wa Simba Day tangu lilipoanza rasmi mwaka 2009, chini ya Mwenyekiti…

Read More

Kilombero Festival kuchochea Utalii na kuvutia wawekezaji

Katika kuendeleza kutangaza vivutio vya utalii na utunzaji wa mazingira nchini Wilaya ya Kilombero iliyopo Mkoani Morogoro imefanya tamasha maalum linalofahamika kwa jina la Kilombero Festival ambalo limejumuisha taasisi mbalimbali za utalii,Kilimo na utamaduni. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero wakili Dunstan Kyobya amesema hili ni tamasha la kwanza kufanyika katika wilaya huyo huku lengo ni…

Read More

Samia atoa msimamo akinadi sera zake Pemba

Pemba. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendelea kusimamia amani na utulivu, huku akiwataka Watanzania kujitokeza bila woga Oktoba 29, 2025 kupiga kura kumchagua Rais, wabunge na madiwani. Amesema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Serikali imejitahidi kusimamia utulivu wa kisiasa, usalama na amani…

Read More

Morocco: Haikuwa rahisi, lakini tulipambana!

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman, amesema udhaifu katika kutumia vizuri nafasi walizotengeneza ndiyo sababu ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Morocco. Hata hivyo, kocha huyo anajivunia namna wachezaji walivyopambana hadi kufikia hatua ya robo fainali ikiwa ni mara ya kwanza kwa Tanzania kufanya hivyo kwenye michuano inayosimamiwa…

Read More

Singano ataja ugumu wa Mexico

BEKI wa FC Juarez inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Mexico, Julietha Singano amesema ugumu wa ligi hiyo unamfanya aonyeshe jitihada zaidi. Huu ni msimu wa tatu mfululizo kwa beki huyo wa timu ya taifa ‘Twiga Stars’ kuichezea timu hiyo akifanikiwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza moja kwa moja mbele ya nyota kibao kutoka mataifa…

Read More