TANZANIA NA SOMALIA KUFANYA MAZUNGUMZO
Tanzania na Shirikisho la Jamhuri ya Somalia zinatarajia kufanya mazungumzo yanayolenga kuibua maeneo mapya ya ushirikiano na kuongeza uhusiano wa kidiplomasia na uchumi yatakayofanyika jijini Mogadishu kuanzia tarehe 17 -19 Disemba 2024. Ujumbe wa Tanzania tayari umeanza kuwasili nchini humo kushiriki katika vikao vya ngazi ya Wataalamu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wa…