Panga la CCM lilivyoacha maumivu kwa makada

Dar es Salaam. Panga la Chama cha Mapinduzi (CCM) limewafyeka zaidi ya robo tatu ya makada wake 4,109 waliochukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge katika majimbo 272 ya Tanzania Bara na Zanzibar, ndani yake wakiwemo vigogo na watu mashuhuri. Kati ya makada hao waliochukua fomu, Kamati Kuu ya chama hicho iliyoketi Julai 28, 2025,…

Read More

Anayedaiwa kuendesha biashara ya upatu ajifungua gerezani

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa Mkurugenzi wa kampuni ya mikopo ya Atlantic Micro Credit Limited, Wendy Ishengoma (38) anayekabiliwa na mashitaka ya kuendesha biashara ya upatu, ameshindwa kufika mahakamani hapo kutokana na kujifungua. Mshtakiwa huyo ambaye alifutiwa shitaka moja la kutakatisha fedha, amejifungua mtoto wa kiume, Ijumaa Februari 21, 2025…

Read More

Mradi wa Umeme wa JNHPP mbioni kuzalisha Megawati 900

Esther Mnyika, Mtanzania Digital Serikali imeeleza kuwa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) sasa una uwezo wa kuzalisha megawati 700 za umeme, na kwamba ndani ya kipindi kifupi kijacho, mradi huo utaweza kuzalisha hadi megawati 900. Akizungumza leo Oktoba 15, 2024, jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya…

Read More

BIASHARA SAA 24 ITAONGEZA MAPATO – RC CHALAMILA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amesema Jiji la Dar es Salaam litakapoanza kufanya biashara saa 24 mapato ya Wafanyabiashara yataongezeka sambamba na kukua kwa uchumi wa nchi kwa ujumla  kutokana na kuongezeka kwa wigo wa biashara. Ameyasema hayo leo tarehe 18.02.2025 alipomtembelea Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…

Read More