WAZIRI NDEJEMBI AELEKEZA WATUMISHI WA ARDHI WASIO WAADILIFU KUCHUKULIWA HATUA

Eleuteri Mangi, Dar es Salaam Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa kusababisha mkanganyiko kwa kukosa uadilifu katika kutekeleza majukumu yake. Waziri Ndejembi ametoa maelekezo hayo Agosti 15, 2024 jijini Dar es salaam wakati…

Read More

Kapo ya Aziz KI, Hamisa Mobeto yawania tuzo

SIKU chache baada ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI kufunga ndoa na mwanamitindo, Hamisa Mobetto kapo yao imewekwa kuwania tuzo. Wanandoa hao wanawania tuzo ya Africa Golden Awards katika kipengele cha kapo bora ya mwaka tuzo zitakazotolewa, Aprili 5 mwaka huu huko Kenya. Aziz KI na Hamisa wamechaguliwa kuwania tuzo hiyo ambayo pia…

Read More

MGOMBEA URAIS DK SAMIA AAHIDI KUIMARISHA USTAWI WA MAKUNDI MAALUM

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Geita MGOMBEA kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha ustawi wa makundi maalum watu wenye mahitaji maalum.  Akizungumza leo Oktoba 12,2024 mbele ya maelfu ya wananchi wa Jimbo la Geita Mjini mkoani Geitq pamoja na kuzungumza maendeleo yaliyopatikana katika Mkoa huo katika sekta mbalimbali lakini…

Read More

2024 Ndio Mwaka Moto Zaidi Kuwahi Kurekodiwa – Masuala ya Ulimwenguni

Msichana mdogo akijaribu kuvuka barabara iliyofurika nchini Bangladesh kufuatia kimbunga Remal. Bangladesh ni mojawapo ya mataifa yanayoathiriwa zaidi na hali ya hewa duniani na inatarajiwa kuathiriwa pakubwa na ongezeko la joto duniani. Credit: UNICEF/Farhana Satu na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Ijumaa, Desemba 20, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Desemba 20 (IPS) –…

Read More

Vurugu ya Dk Kongo imesukuma 35,000 kwenda Burundi, inasema shirika la wakimbizi la UN – maswala ya ulimwengu

UNHCRShirika la Wakimbizi la UN, liliripoti Alhamisi kwamba Raia 35,000 wa Kongo sasa wamefika Burundi tangu mwanzoni mwa Februariwakati wapiganaji wa Rwanda wanaoungwa mkono na M23 wanaendelea kusonga mbele katika Kivu Kusini na Kaskazini. Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN (Ohchr) katika DRC pia alionyesha wasiwasi juu ya kuongezeka kwa sheria kama wakurugenzi wa…

Read More