Morocco: Tupo tayari, tukutane Kwa Mkapa
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho Jumamosi kitashuka uwanjani katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Fainali za Kombe la Ubingwa wa Nchi za Afrika (Chan) 2024 dhidi ya Burkina Faso, huku kocha wa timu hiyo, Hemed Suleiman ‘Morocco’ akitamba wapo tayari kwa vita. Tanzania ambao ni wenyeji wa fainali hizo…