KIGOGO TAASISI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE AJITOSA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI
MAKAMU Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Saulo Mali, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA) Kada huyo wa CCM ambaye kitaaluma ni mwalimu, amechukua fomu hiyo mapema leo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama, Mtaa wa Lumumba, jijini…