WAZIRI UMMY AMUAGA BALOZI WA SWITZERLAND

    Na WAF – Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa shukrani kwa nchi ya Switzerland kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kusaidia Sekta ya Afya hasa kwenye uboreshaji wa Utoaji wa huduma za Afya ya Msingi nchini.  Waziri Ummy amesema hayo leo Julai 29, 2024 wakati akiagana na Balozi wa…

Read More

RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA MUASISI WA UWT ZANZIBAR MAREHEMU ASHA SIMBA MAKWEGA GOZA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi mbalimbali katika Sala ya Maiti ya Marehemu Asha Simba Makwega Muasisi wa UWT pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sala hiyo iliyoongozwa na Mufti…

Read More

Guede alivyopindua meza ya usajili Yanga

MABAO manane yametosha kubadili sehemu ya usajili wa Yanga baada ya mabosi wa timu hiyo kushtuka kwamba mshambuliaji Joseph Guede ana kitu miguuni na kichwani, na sasa ni miongoni mwa mastaa wanaobaki Jangwani. Awali, Guede alionekana kuwa na mwanzo mgumu katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi, lakini kadri muda unavyokwenda ameonekana kubadili upepo wa mambo…

Read More

MAANDALIZI YA LIGI YA MUUNGANO YAANZA

  Serikali imetoa wito kwa Vyama vya Michezo vya Tanzania Bara na Zanzibar kushirikiana na kubadilishana uzoefu ili kuendeleza mshikamano baina ya wananchi wa pande zote mbili na kudumisha Muungano.   Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifungua Kikao cha Maandalizi ya Ligi ya…

Read More

Kocha ataja kinachoitesa Mlandege Ligi Kuu Zanzibar

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Mlandege, imeonekana kuteseka katika ligi hiyo baada ya kucheza mechi nne bila ya ushindi wala kufunga bao msimu huu wa 2025-2026. Mlandege ambayo msimu uliopita ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar kwa tofauti ya mabao mbele ya KVZ zote zikimaliza na pointi 62, msimu huu katika mechi nne…

Read More

Sh486 milioni kujenga daraja Mto Isenga

Songwe. Hatimaye daraja la Mto Isenga lililopo wilayani Ileje Mkoa wa Songwe limeanza kujengwa kwa gharama ya Sh486 milioni, huku likitarajiwa kurahisisha usafiri kwa wananchi katika vijiji 71 zilivyomo wilayani humo. Akizungumzia ujenzi huo leo Alhamisi Julai 25, 2024, Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) wilayani humo, Asamisye Pakibanja amesema ujenzi…

Read More