Mukwala, Aucho watemwa The Cranes
WACHEZAJI Steven Mukwala na Khalid Aucho wameachwa katika kikosi cha nyota 28 wa timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’, kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026, dhidi ya Msumbiji Septemba 5 na Somalia Septemba 8, 2025. Mukwala anayeichezea Simba ametemwa sambamba na Aucho aliyemaliza mkataba wake na Yanga kisha…