LATRA YAWATAKA WATOA HUDUMA ZA TIKETI MTANDAO KUUNGANISHWA NA MFUMO WA SERIKALI KABLA YA JULAI 1
Farida Mangue, Morogoro Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watoa huduma wa tiketi mtandao kuunganisha mifumo yao na mfumo wa serikali inayosimamiwa na LATRA pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kabla ya Julai 1, 2025. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha usimamizi wa sekta ya usafiri ardhini, kuongeza uwazi katika…