Benki ya CRDB yaipongeza Yanga kwa Jitihada za Kuendeleza Soka Nchini – MWANAHARAKATI MZALENDO

Meneja wa Benki CRDB Kanda ya Dar es Salaam Muhumuliza Buberwa ameipongeza klabu ya Yanga kwa jitihada wanazozifanya kuendeleza Soka nchini. “Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nitashindwa kuwapongeza Yanga kwa jitihada kubwa ambayo wameifanya kwenye maendeleo ya soka, tunayo furaha kuwatangazia kuwa tutakuwa pamoja kama mdhamini mkuu wa wiki ya Mwananchi, jambo la muhimu sana…

Read More

VIONGOZI WA CCM KATIKA PICHA Z’BAR

***** Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein,…

Read More

Prof. Kitila: Lissu ameudanganya Umma, hatukupanga mapinduzi

  PROFESA Kitila Mkumbo aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baadaye ACT Wazalendo na sasa ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema kuwa Tundu Lissu ameudanganya umma kuwa yeye na Zitto Kabwe Kiongozi Mstaafu wa ACT walikuwa wanapanga mipango ya kumpindua Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu,…

Read More

Ufaransa yaipatia Tanzania Sh bilioni 323.4

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo La Ufaransa (AFD) wamesaini mikataba minne (4) yenye jumla ya euro milioni 118.8 sawa na Sh bilioni 323.4 kwa ajili kutekeleza miradi mbalimbali nchini ikiwemo Awamu ya Pili ya mradi wa nishati jua wa Kishapu mkoani Shinyanga, uendelezaji wa misitu na utunzaji wa hifadhi ya…

Read More

Serikali kuunda timu tatu kuelekea Afcon 2027

Dodoma. Serikali ina mpango wa kuunda timu tatu imara za soka za Taifa kulingana na umri ambazo zitashiriki mashindano ya Afcon 2027 na mengine ambayo nchi itashiriki. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema hayo leo Jumatatu Aprili 30, 2024 alipojibu maswali ya nyongeza ya Mbunge wa Jimbo la Magomeni, Mwanakhamis Kassim…

Read More

TUJIKINGE NA UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA KWANI ZAIDI YA WATU 60,000 HUFARIKI KILA MWAKA

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Abdul Mhinte katikati akiwa katika picha ya pamoja katika Maadhimisho ya Kichaa cha Mbwa Duniani Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza Septemba 28, 2024.(Picha na Faustine Gimu) Ugonjwa wa Kichaa cha mbwa ( Rabies) ni ugonjwa hatari unaoathiri ubongo na kwa kawaida unamwuua aliyeambukizwa nao. Jina na njia za kuambukizwa Jina la…

Read More

Mnyukano Wenje, Lissu washika kasi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje amekanusha tuhuma za kushiriki kuwahonga wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho, akijibu hoja iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Tundu Lissu, aliyemtaja kuwa ndiye alimpeleka mtu kwake kumhonga fedha. Lissu aliibua tuhuma hizo Mei, 2024 katika mahojiano yaliyorushwa kwenye mitandao ya…

Read More