Karibu wanawake milioni 224 bado hawapati mipango ya familia – maswala ya ulimwengu

Matumizi yaliyoongezeka yanaonyesha mafanikio makubwa ya kiafya ambayo yameruhusu mamilioni ya vijana kuzuia ujauzito usiotarajiwa na uchaguzi wa mazoezi juu ya hatima zao, lakini UNFPA Alisema kuwa “kwa wengi sana, haki ya msingi ya kibinadamu ya kuchagua ikiwa watoto wanaendelea kudhoofishwa.” ‘Uzazi wa mpango huokoa maisha’ Kutokuwepo kwa uzazi wa mpango kunasababisha kuongezeka kwa ujauzito…

Read More

Dk Nchimbi ataka kibano kwa watumishi wazembe

Moshi. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameitaka Serikali kuendelea kupambana na kuwachukulia hatua watumishi wa umma wanaotanguliza maslahi yao binafsi badala ya wananchi. Dk Nchimbi amesema kila mmoja kwenye eneo lake anapaswa kula kiapo cha uaminifu cha kuitumikia nchi kwa uzalendo na hivyo kuchochea maendeleo kwa Taifa. Dk Nchimbi amesema…

Read More

Uchaguzi mabaraza: Ni vita ya Mbowe, Lissu

Dar es Salaam. Baada ya minyukano ya nguvu za hoja kwa takriban wiki mbili,  uchaguzi wa viongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ngazi ya mabaraza, umeiva. Mabaraza hayo ni vijana (Bavicha) na wazee (Bazecha), ambayo yote uchaguzi wake unafanyika kesho Jumatatu, Januari 13, 2024. Mkutano wa Bavicha utafanyikia ukumbi wa Ubungo Plaza…

Read More

Radi yaua watano, yajeruhi sita Chunya

Mbeya. Watu watano kutoka jamii ya wafugaji wamepoteza maisha na wengine sita kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Isangawane, Kata ya Matwiga, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya na inaelezwa kuwa hili ni tukio la pili kwa mwezi huu ambapo radi iliyotokea awali…

Read More

BODI YA USIMAMIZI WA STAKABADHI ZA GHALA YAZINDULIWA DODOMA

NAIBU Waziri wa Kilimo. Mhe. David Silinde (Mb) amesema Wizara ya Kilimo inaamini katika Mfumo wa Stakabadhi Ghalani, na kuhakikisha mfumo huo unaleta manufaa zaidi kwa wakulima katika kuuza mazao yao. Mhe. Silinde amesema hayo tarehe 12 Desemba 2025, jijini Dodoma, alivyohudhuria katika Hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala uliozinduliwa…

Read More

LORI LAUA 11 WALIOKWENDA KUSHUHUDIA AJALI SEGERA.

Na Oscar Assenga, Handeni. WATU 11 wamefariki dunia wa Kijiji cha Chang’ombe kilichopo Kata ya Segera wilayani Handeni Mkoani Tanga baada ya kugongwa na lori lililokuwa limebeba saruji baada ya kupoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani walipokuwa wakishanga ajali ya gari dogo aina ya tata . Watu hao walijitokeza barabarani ili kuweza kutoa msaada kufuatia ajali…

Read More