Kamal Foundation Yaongeza Nguvu ya Ujumuishwaji kwa Kugawa Miguu Bandia kwa Walengwa 28
KAMPUNI ya Kamal kupitia Kamal Foundation imeonesha mfano wa namna ushirikiano kati ya sekta binafsi, Serikali na jumuiya za kimataifa unavyoweza kuleta matokeo chanya kwa watu wenye ulemavu, baada ya kugawa miguu bandia kwa walengwa 28 jijini Dar es Salaam—hatua inayotajwa kuunga mkono ajenda ya kitaifa ya kuongeza ujumuishwaji katika maendeleo. Akizungumza katika tukio hilo…