Aziz KI amuibua beki wa zamani

NYOTA wa zamani wa Yanga, Haji Mwinyi Ngwali, ameshindwa kujizuia na kuibuka akiwatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu kuondoka kwa kiungo mahiri, Stephane Aziz KI, kwa kusema klabu hiyo bado ina wachezaji bora wanaoweza kuchukua nafasi yake bila kupunguza ubora wa timu. Aziz KI aliyeitumikia Yanga kwa misimu mitatu tangu aliposajiliwa 2022 kutoka ASEC…

Read More

Binti wa Miaka 16 afanya maajabu Makubwa

# Apanga kugawa Taulo za kike kwa zaidi ya wanafunzi 10,000 Arusha Na Mwandishi Wetu, Arusha Binti wa miaka 16 Arjun Kaur Mittal Mtanzania anayesoma Dubai katika nchi za Jumuiya ya Kiarabu (UAE), anatarajia kugawa taulo za kike kwa wanafunzi wa Sekondari za Serikali Jijini Arusha. Arjun ambaye ameonyesha ujasiri na uwezo wa hali ya…

Read More

Parachichi yawaponza kijana, mwenyekiti watiwa mbaroni

Njombe. Jeshi la Polisi mkoani Njombe linawashikilia watuhumiwa watatu, akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji, kwa tuhuma za kumshambulia kwa kipigo kijana Ackrey Ngole (26), mkazi wa mtaa wa Maheve katika Halmashauri ya Mji wa Njombe, wakimtuhumu kuiba matunda ya parachichi. Taarifa hiyo imetolewa jana jioni, Agosti 12, 2025, na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe,…

Read More

Tabora United mdaka mishale kutoka Gabon

MUDA wowote Tabora United inaweza kumtangaza kipa raia wa Gabon, Jean Noel Amonome baada ya kukamilika ishu ya makubaliano ya mkataba. Tabora United inaendelea kujiimarisha maeneo mbalimbali ikiwemo golini kufuatia kuondoka kwa Hussein Masalanga aliyerejea Singida Black Stars baada ya kuitumikia timu hiyo kwa mkopo huku Victor Sochima akiondolewa. Katika kuimarisha eneo hilo, Tabora United…

Read More

Simba na ramani ya ushindi CAF 

KATIKA michezo mitano iliyopita, Simba imeonyesha kiwango bora kwa kushinda zote dhidi ya Tanzania Prisons (1-0), Namungo (3-0), Mashujaa (1-0), KMC (4-0) na Pamba Jiji (1-0). Mafanikio hayo yanaiweka timu hiyo kwenye hali nzuri kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, mechi…

Read More

Fanya hivi kujilinda fedha zako dhidi ya udanganyifu

Makala mbili zilizopita tulizungumzia kuhusu udanganyifu wa kifedha maarufu kama Ponzi, tukiangilia asili yake, tabia zake na namna ya kugundua, leo tutazungumzia namna ya kuruka mtego wake na njia za kujilinda ili usipoteze pesa. Ulinzi bora dhidi ya mifumo ya Ponzi ni elimu. Kwa kuelewa alama za udanganyifu na kuwa na shaka kuhusu ahadi zinazotolewa…

Read More

Mambo mawili yanayomsubiri Sheikh Ponda ACT- Wazalendo

Dar es Salaam. Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema uamuzi wa Sheikh Issa Ponda kujiunga na chama hicho unakwenda kuongeza chachu ya kisiasa na utasaidia kupigania haki na demokrasia nchini. Amesema Sheikh Issa Ponda ni mwamba wa harakati za kudai haki za binadamu na utawala bora wa sheria, na hivyo wanafuraha kumpokea ndani…

Read More