
Busungu wa Ada Tadea aahidi kujenga mji wa teknolojia akipewa ridhaa ya urais
Moshi. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ada Tadea, Georges Busungu ameahidi endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, atajenga mji maalumu wa teknolojia utakaojumuisha wabunifu na vijana wenye ujuzi kwa ajili ya kufanya kazi za ubunifu kwa manufaa ya taifa. Akizungumza leo Jumapili, Septemba 21, 2025, katika mkutano wa kampeni…