Kaka, dada jela miaka 30 kwa kosa la kuoana
Simiyu. Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu Mussa Shija (32) kifungo cha miaka 20 jela na dada yake Hollo Shija (35) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kosa la kujamiiana na maharimu (ndugu wa damu). Hukumu hiyo ilitolewa Agosti 14, 2024 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo,…