Mkutano wa TISA wa Wakuu wa Nchi na Serikali TICAD Wahitimishwa Jijini Yokohama
Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development) umehitimishwa jijini Yokohama, Japan, tarehe 22 Agosti 2025, baada ya siku tatu za majadiliano yaliyoendeshwa chini ya kaulimbiu ya “Kuibua Uvumbuzi wa Pamoja na Afrika.” Mkutano huo ulifungwa rasmi na Waziri Mkuu…