SHINDANO LA GOFU KCB EAST AFRIKA LAANZA KWA KISHINDO DAR
WACHEZAJI 100 wameshiriki mashindano ya siku moja ya ‘KCB East Afrika Golf Tour’ ambayo yamefanyika katika viwanja vya Lugalo gofu Kawe jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yameshirikisha klabu zote nchini wakiwemo watoto (juniors) nchini na wachezaji kutoka nchi za Uganda, Rwanda, Kenya na Burundi. Akizungumza na Wanahabari Leo Agosti 03,2024 Jijini Dar es Salaam…