Serikali yanyoosha mikono, yaondoa kodi ya Sh382 ya gesi kwenye magari
Dodoma. Serikali imekubali mapendekezo ya wabunge ya kuondoa ushuru ya Sh382 kwenye gesi asilia inayotumika katika magari. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza amesema hayo leo Alhamisi Juni 27, 2024 wakati akiwasilisha maoni ya kamati yake kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2024. Tangu kuanza kwa mjadala ya…