Yanga yasisitiza kutocheza dabi, yaanika kukosa imani
Licha ya Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuamuru Yanga kurudi kwanza kwenye Kamati za ndani za TFF kushughulikia malalamiko yao, klabu hiyo imeendelea kushikilia msimamo wake wa kutocheza meche ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu dhidi ya Simba. Katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatatu Mei 5, 2025 na Kamati ya…