Dhamana ya Dk Slaa kizungumkuti, Mahakama kuu yatoa maelekezo
Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeielekeza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam kushughulikia dhamana ya mwanasiasa maarufu nchini, Dk Wilbrod Slaa, na kutoa uamuzi wa pingamizi la uhalali wa kesi ya jinai inayomkabili kwa haraka. Mbali na maelekezo hayo kwa Mahakama ya Kisutu, pia kupitia sakata…