Chan 2024 kazi ipo huku sasa
MECHI mbili za robo fainali za michuano ya CHAN 2024 zimepigwa jana Ijumaa na leo zinapigwa nyingine za mwisho ili kujua timu zitakazoumana katika nusu fainali, lakini kuna kazi inaendelea kwenye michuano hiyo wakati wachezaji wa timu shiriki wakipambana kuwania tuzo za msimu huu. Kabla ya mechi za jana tayari mabao 74 kutoka kwa wachezaji…