Asilimia 31 ya watoto Mara wanabeba mimba
Tarime. Asilimia 31 ya watoto wenye umri kati ya miaka 15 – 19 katika Mkoa wa Mara wanapata mimba za utotoni, jambo linaloelezwa kuwa na madhara katika ustawi wa watoto na jamii nzima mkoani humo. Hayo yamebainishwa leo Agosti 22, 2024 mjini Tarime na Mratibu wa Huduma za Afya na Uzazi na Mtoto Mkoa wa…