Chadema yampinga msajili, yatoa msimamo

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Kikao cha kamati kuu kilichokutana Jumamosi ya Juni 23, 2025 kimeridhia kwa kauli moja kutokuijibu barua ya msajili wa vyama vya siasa. Barua hiyo ya msajili aliituma kwa Chadema akielezea uamuzi wake wa kukitaka chama hicho kuitisha upya Baraza Kuu ili kuwaidhinisha viongozi wanane…

Read More

Wanawake waibuka kidedea Bazecha | Mwananchi

Dar es Salaam. Wajumbe wa Baraza la Wazee (Bazecha) wamemchagua Suzan Lyimo kuwa mwenyekiti mpya wa baraza hilo kwa miaka mitano ijayo baada ya kujinyakulia kura 96 huku nafasi ya katibu mkuu akishinda Hellen Kayanza. Lyimo ametangazwa mshindi baada ya kuwabwaga wapinzani wake wanne akiwamo Hashim Issa aliyepata kura 14 aliyekuwa akitetea nafasi hiyo aliyohudumu…

Read More

Rais Guinea Bissau, Samia kuteta namna ya kudhibiti malaria

Rais wa Jamhuri ya Guinea Bissau na Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika katika Kudhibiti Malaria (ALMA), Umaro Sissoco Embaló anatarajiwa kufanya ziara nchini kwa lengo kujadili kwa kina namna ya kuendelea kupambana na kudhibiti ugonjwa hatari wa Malaria. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwenyekiti huyo wa ALMA taasisi ambayo ilianzishwa mwaka…

Read More