Rais Samia amuondoa bosi TRA

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata kuwa Mshauri wa Rais, Ikulu nafasi inayomuondoa katika nafasi yake ya awali. Kidata anaondolewa TRA ikiwa ni wiki moja ipite tangu mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima ufanyike wakilalamikia utitiri wa kodi unaotozwa na TRA. Aidha, Rais…

Read More

MASUMUNI MPYA NA MOSSES MDAKA MAPUNDA?

Mwanasiasa na mwalimu kitaaluma, Mosses Mdaka Mapunda, ni mtia nia nafasi ya Udiwani katika Kata ya Masumuni, Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), akiahidi kuleta mwelekeo mpya wa maendeleo ya kweli katika kata hiyo. Mapunda anaamini kuwa Kata ya Masumuni inahitaji kiongozi aliye karibu na wananchi, mwenye uelewa wa changamoto…

Read More

Mradi wa LTIP kumaliza changamoto ya makazi holela Kondoa.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) umedhamira kumaliza changamoto ya makazi holela kwa kuyafikia maeneo yote ambayo yameendelezwa bila kupangwa na hayajafikiwa na zoezi la urasimishaji katika Halmashauri ya Mji wa Kondoa. Mradi huo unalenga kutambua, kupanga, kupima na kuwamilikisha wananchi katika maeneo…

Read More

PSPTB YAFUNGA MAFUNZO YA TAFITI KWA WANAFUNZI WA BODI

Mkurugenzi wa Mafunzo wa Bodi ya wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Amani Ngonyani amefunga Semina ya ‘Research Workshop’ iliyokuwa na lengo la kutoa mafunzo maalumu ya kuwandaa wanafunzi wa Bodi wanaotarajiwa kufanya tafiti kabla ya kuhitimu mafunzo kutoka bodi hiyo yaliyoanza  Agosti 12 hadi Agosti 16, 2024. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo Mkurugenzi…

Read More

Ukiona haya, jua uhusiano, ndoa yako feki

Watu wengi sana wako kwenye uhusiano feki bila kujijua. Yumkini kwa sababu ya kiu ya kupendwa na kupenda, kiu ya kujisikia kuwa niko kwenye mapenzi bila kujali uhalisia wa huyo mwenzake. Lakini pia kukurupuka au kwenda pupa katika kufanya uamuzi unaohusu uhusiano, kunawagharimu walio wengi. Uhusiano wa kweli sio jambo rahisi sana maana unahitaji jitihada…

Read More

BoT yatoa angalizo mikopo ‘kausha damu’

Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka Watanzania kutoa taarifa juu ya uwepo wa taasisi, kampuni au watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha bila kuwa na leseni au kutozingatia taratibu zilizowekwa. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni udhibiti wa watu wanaotoa mikopo kiholela ambayo baadhi imekuwa ikiwaumiza wananchi kwa kuwapa riba kubwa ikilinganisha na…

Read More

Andrew Chamungu atua Namungo FC

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Songea United, Andrew Chamungu amekamilisha usajili wa kujiunga na Namungo, huku nyota huyo akipewa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine. Chamungu aliyewahi kutamba na timu mbalimbali zikiwamo za, Polisi Tanzania, Mbuni na Kitayosce ambayo kwa sasa ni Tabora United, amekamilisha dili hilo la kujiunga na kikosi hicho na sasa…

Read More

Muda unakaribia kama tarehe ya mwisho ya 2030 inakaribia kwa mpango wa Umoja wa Mataifa kwa siku zijazo nzuri – Masuala ya Ulimwenguni

Mwaka 2024 Jukwaa la ngazi ya juu la Siasa kuhusu Maendeleo Endelevu (HLPF) itafuata kuanzia Septemba iliyopita Mkutano wa SDGiliyofafanuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wakati huo kama “wakati wa umoja” kugeuza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) katika ukweli. Mawaziri wa Serikali, wanaharakati na wanachama wa mashirika ya kiraia watakutana na kujadiliana wakati…

Read More