Honda Yazindua Toleo Jipya la Honda ACE 150
Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Honda Ukanda wa Afrika Kusini, Hideki Shinjo (kushoto) akiwaongoza baadhi ya wageni wa meza kuu kuzindua rasmi pikipiki aina ya ACE 150 Jinjini Dar es Salaam leo Oktoba 24,2024 Wengine kutoka Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Maderevena na Wamiliki wa Pikipiki Dar es Salaam, Mike Massawe ASP Rosemary Kitwala,…