Morocco: Tatizo sio mastraika, ni umaliziaji tu

“KILIO kikubwa kwenye kikosi cha Taifa Stars ni wachezaji kushindwa kutumia nafasi, hii ni kuanzia mwanzo wa mashindano ya CHAN hadi tumefikia tamati,” ndivyo anavyosema kocha wa timu hiyo ya taifa ya Tanzania, Hemed Suleiman ‘Morocco’ alipozungumza na Mwanaspoti. Anasema: “Timu inajaribu kutengeneza nafasi lakini haiwezi kuzitumia, lakini mpira ni mchakato sio kitu cha kukifanyia…

Read More

Kampeni ya Heforshe inashughulikia ‘ngono kwa samaki’ unyanyasaji wa jamii za malawis – maswala ya ulimwengu

Wanawake mara nyingi hunyonywa wakati wa kununua samaki kutoka kwa wavuvi au wafanyabiashara katika Ziwa Malawi. Mikopo: Benson Kunchezera/IPS na Benson Kunchezera (Lilongwe) Alhamisi, Mei 22, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LILONGWE, Mei 22 (IPS) – Wanawake katika jamii za uvuvi katika wilaya za mwambao wa Malawi wa Nkhotakota na Mangochi mara nyingi malengo…

Read More

Majeruhi ajali ya treni wasimulia ilivyotokea

Kigoma. Majeruhi wanne kati ya watano  wa ajali ya treni iliyotokea mapema leo, wamepewa rufaa ya kwenda Hospitali ya Mkoa wa Maweni kwa matibabu zaidi. Majeruhi hao walikuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya Uvinza kabla ya baadhi kuhamishiwa Hospitali ya Maweni kwa matibabu zaidi. Awali, taarifa iliyotolewa kwa umma na Shirika la Reli Tanzania…

Read More

Ibenge awakomalia mastaa Azam FC

LICHA ya Azam kushinda mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM, ila kocha wa timu hiyo raia wa DR Congo, Florent Ibenge, amesema hajabweteka na ushindi huo, hivyo bado ana kazi kubwa ya kufanya katika marudiano. Katika mechi hiyo iliyopigwa leo Oktoba 18, 2025…

Read More

Bashiri na Meridianbet leo hii

  Alhamisi ya leo mechi mbalimbali zinaendelea ambapo nafasi ya wewe kuondoka na ushindi wa pointi 3 ni lazima. Tengeneza jamvi lako la ushindi leo na utusue mapene ya maana. Tukianza na EPL leo hii kuna mechi mbili za hela ambapo Fulham baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi…

Read More