Gen Z waliamsha tena, wamtaka Ruto ajiuzulu
Nairobi. Polisi katika Mji Mkuu wa Kenya, Nairobi leo Julai 16, 2024 wametumia gesi ya machozi kuwatawanya waandamanaji wa Gen Z wanaopinga Serikali na kumtaka Rais William Ruto ajiuzulu. Kwa mujibu wa Aljazeera, majeruhi wameripotiwa Nairobi na sehemu nyingine, huku mwandamanaji mmoja ameripotiwa kuuawa huko Kitengela. Shirika la Habari la Reuters limeripoti kwamba polisi huko…