
Mayanga kazi anayo usajili Mashujaa
WAKATI vigogo vya soka vikiendelea kutambiana kwa sajili zao, kuna watu wanaitwa Mashujaa wanafanya usajili mzuri sana wa wachezaji wazawa. Ndiyo tunakumbuka hapa kijiweni Mashujaa inamilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania na kama ilivyozoeleka timu za majeshi huwa kwa asilimia kubwa zinatoa fursa kwa watoto wa nyumbani kwa maana ya wachezaji wazawa. Sasa kama husajili…