Waliomuua, kukata uke wahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Geita. Methali ya kusema “ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga” inaonekana kutimia baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, kuwatia hatiani na kuwahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa watatu waliohusika katika mauaji ya Joyce Lundeheka (51). Washtakiwa hao walikutwa na hatia ya kumuua Joyce kwa kumkata na kitu chenye ncha kali, kisha kukata sehemu za…