WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KUJIPATIA NYUMBA ZINAZOJENGWA NA TBA
Na Janeth MichuziTv -Dodoma Wananchi wamepewa wito wa kuchamgamkia kupata nyumba zilizojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ambazo zinapatikana kwa bei nafuu, kwa ajili ya kupangisha ili waweze kupata makazi bora na salama. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) Augustine Vuma wakati walipotembelea…