Rais Samia azindua Kiwanda cha kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Kigamboni Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda hicho kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024….

Read More

Kiama kwa waharibifu wa mazingira, vyanzo vya maji

Morogoro. Tatizo la uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji linaloendelea nchini, limeifanya Serikali kutoa maagizo saba kwa mamlaka za wilaya, mikoa na za maji ikiwamo kutungwa sheria ndogo za kusimamia vyanzo vyote vya maji na kuwachukulia hatua kali watakaokaidi. Maelekezo mengine ni kila Mtanzania popote alipo kutambua ajenda kubwa na muhimu kwa sasa ni…

Read More

Wataalamu wasisitiza Afrika kuunganisha nguvu kufungua fursa za nishati

Cape Town. Wataalamu wa nishati wamesisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kuunganisha nguvu kama mkakati muhimu wa kukabiliana na changamoto sugu za nishati na kufungua fursa zilizopo katika sekta hiyo. Wakizungumza katika Mkutano wa Nishati Afrika (Africa Energy Forum) unaoendelea jijini Cape Town, Afrika Kusini, ambao unahudhuriwa na washiriki takriban 6,000 wakiwemo viongozi kutoka sekta…

Read More

Kahawa kuuzwa kwa ‘bajaji’ kukuza soko

Dodoma. Katika kuongeza masoko ya kahawa inayozalishwa nchini, Serikali imebuni na kutengeneza migahawa inayotembea kwa kutumia pikipiki za miguu mitatu kwa ajili ya kuuza kahawa katika maeneo mbalimbali ya umma na kwenye mikusanyiko ya watu. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema leo Jumanne Aprili 30, 2024 wakati wa kujibu swali la msingi la Mbunge…

Read More

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu inayofahamika kama “Akaunti ya Wastaafu” ama “Pensioners account” ikilenga kutoa huduma za kibenki zenye kutoa vipaumbele kwa kundi hilo la kijamii. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kupitia huduma hiyo iliyozinduliwa mapema leo Ijumaa jijini Dar es Salaam pamoja na faida nyingine  inatoa…

Read More

Zawadi aina saba za kumpa mwenza wako

Mwanza. Katika maisha ya ndoa, kuna mambo mengi yanayochangia kuimarisha uhusiano kati ya wanandoa.  Miongoni mwa mambo hayo ni mawasiliano mazuri, kuheshimiana, kusameheana, na kushirikiana katika majukumu ya kila siku.  Hata hivyo, kuna jambo jingine linalochukuliwa kuwa dogo na lisilo la lazima na watu wengi, lakini lina nguvu kubwa ya kuimarisha mapenzi na kuleta furaha…

Read More

Waziri Prof.Mkenda azindua kituo cha afya kilichogharimu Mil.500 wilayani Wanging’ombe

Wananchi wa kata ya Makoga halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe wameishukuru serikali kwa ujenzi wa kituo cha afya kilichogharimu Sh.500 Milioni na kudai kuwa kitawapunguzia adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ikiwemo za upasuaji kwa wakinamama wajawazito. Wameeleza hayo wakati wa uzinduzi wa kituo cha afya Makoga kilichopo wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe….

Read More